Alfabeti School Database

Mfumo wa matokeo

Mfumo huu wa matokeo unakuwezesha kuandaa matokeo kwa urahisi. Mfumo utakuwezesha kupata mkeka wa matokeo, kupata kumi bora na transcript ya matokeo ya kila mwanafunzi kwa shule za msingi na sekondari . Mfumo huu wa matokeo ni bora na unafuata standard za mifumo duniani kote. Pia mfumo wetu utakuwezesha kuprint vitambulisho vya kidijitali kwa ajiri ya wanafunzi. Vitambulisho hivi vitatumiwa na wazazi kupata taarifa mbalimbali ikiwemo matokeo na ada kutoka shuleni.

Read more | March 16, 2025

Mfumo wa Ada

Mfumo wetu pia unawawezesha shule binafsi kutunza kumbukumbu za ada na kutoa risti kwa wazazi. Baada ya kutoa risti katika mfumo huu wa ada, malipo yatapewa namba maalumu ya kumbukumbu. Mzazi ataweza kufuatilia kumbukumbu za malipo yake kupitia kadi ya kidijitali aliyopewa. Mfumo utaandaa ripoti mbalimbali ikiwemo ripoti ya wadaiwa wa kila awamu, na ripoti ya jumla ya ada iliyolipwa. Pia mhasibu ataweza kuprint barua za wadaiwa wa kila awamu na ripoti ya mwaka unaofuata.

Read more | March 15, 2025

Connecting the world